Si Kasie yuleyule uliyemjua

Ukiona njia yako inazidi kuwa nyembamba ujue uko kwenye the right way ya kwenda uzimani...Wenye imani kama yangu imeelezwa njia ile ni nyembaba iendayo uziman, huku bonde huku bonde katikati njia ile...So nami natamani niifike njia hiyo maaana nahisi yangu bado pana mno..
 
Naona leo tunaletewa vifungu kama vya biblia ambavo ni wachache wanaelewa. Ufafanuzi tafadhari
 
Teh teh teh
 
Ohoooo.....watu wasije kuanza kudhani ni ujumbe wangu huu.

We Kasie what's the matter?

Godwin kakutenda?
 
Ohoooo.....watu wasije kuanza kudhani ni ujumbe wangu huu.

We Kasie what's the matter?

Godwin kakutenda?

Hahah i was looking for this one

watu wasije kuanza kudhani ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…