Si Hirizi Si Mizizi Moyo umeridhi.................a

upo hivyo kutokana na unayoyafikiria mimi sifikiri hivyo mimi ni nafsi huru sijasema mke wangu hanicheat ila mimi nashindwa kumcheat huenda yeye anaweza mimi kutomcheat mke wangu ndio fraha yangu huenda yeye frahaa yake ni kunicheat mimi I DONT CARE as long am happy kutomcheat yeye upo hapo

CHUNGU SAANA LAKINI DAWA NZURI

Duh! Haya bana...
 
Ushaambiwa siku hizi kuchapiwa ni siri ya ndani. Kwa hiyo akija kujua mkewe anamegwa na njemba za kitaa ni kuuchuna tu. Maana ukisema ulianzishe timbwili waweza kuumbuka zaidi. Mwanamme gani ataona poa washikaji zake kujua mke wake anamegwa na njemba za kitaa?
Kwahiyo kujifanya hujui kama unamegewa halafu ukikatiza kitaa wanakusanifu ndo uanaume?
 
Yeah I guess so. Watu tumetofautiana sana ujue...

We hujawahi kusikia watu wakisema kuwa hawajali kama wenza wao wakiwachiti alimradi tu wasijue?
 
Wengine ni kina Tomaso mpaka waone wenyewe kwa macho
 
Yeah I guess so. Watu tumetofautiana sana ujue...

We hujawahi kusikia watu wakisema kuwa hawajali kama wenza wao wakiwachiti alimradi tu wasijue?

Sitojali amemegwa na wangapi nitakachojali ananipenda stauliza amerudi saa ngapi nitauliza umerudi salama

Mahaba niueeee
 
Ha ha ha ha ha ha Jini mahaba ni just user name tuuu but u know why tuwe huru la msingi hisia zangu zimefika

Okey, ila tuseme ukweli tu ukimpenda mtu kwa dhati na una hofu ya Mungu si rahisi kuchepuka.
 
Yeah I guess so. Watu tumetofautiana sana ujue...

We hujawahi kusikia watu wakisema kuwa hawajali kama wenza wao wakiwachiti alimradi tu wasijue?

Lazima uwe aware bhana,unaweza kushangaa umeenda naye out ukatandikwa na wengine wakidhani we ndo wamekufumania
 
Sitojali amemegwa na wangapi nitakachojali ananipenda stauliza amerudi saa ngapi nitauliza umerudi salama

Mahaba niueeee
Hahahaha! usiombe yakukute mkuu unaweza kuua mtu au kujiua,mshukuru Mungu na omba akuepushie.
Naona unaaply wimbo wa Lameck Ditto- Wapo
 
Si unaona huyo anakwambia mahaba niueee...hatojali anamegwa na wangapi (ingawa simwamini hata kidogo)
 
Hahahaha! usiombe yakukute mkuu unaweza kuua mtu au kujiua,mshukuru Mungu na omba akuepushie.
Naona unaaply wimbo wa Lameck Ditto- Wapo

ukijua na kufahamu jambo likishatendeka hakuna kurirusha nyuma yake na kurekebisha basi huwezi kamwe kua na hasira just assume mke wako kamegwa then what next ?? utarudisha nyuma kwamba hajamegwa kwa hasira binafsi nikimfumania mke wangu kamegwa Nasubiri miezi mitatu nampima hana ngoma tupo poa nafunga safari kwenda dubai au zanzibar kwenda kupoza uchungu namtoa out visiwa vya mbali kisha namwambia asirudie tena namsamehe bura kwangu hakuna kosa la kuachana nasamehe kama Mungu hata mke wangu akifanya kosa jekundu kama damu nami nitamsamehe na kufanya ang'are kama theluji moto ni ule ule

EVEN GOD CAN NOT CHANGE THE PAST Nakupenda mke hata shetani angeogopa???????????????????????//
 
Wenyewe wanasema "sijamroga sijamchawia muulizeni kilichomvutia" Hapana chezea mahaba.
Ila ngoja mabazazi waje wakusute.

1554570_715207251837555_177625128_n.jpg
 
Nimeamua kuandika hivi baada ya kushindwa kuisaliti ndoa yangu Sijui mke wangu kanipa nini hata nikiwa peke yangu mbali nikitaka kumsaliti nashindwa kabisa kila picha yake ikiniijia kichwani naona nachotaka kukifanya ni dhambi awali nilidhani ni Limbwata wakati wa likizo niliporudi kijijini nikamtafuta mtalamu anipe dawa ya kutapika limbwata lakin wapi. Nilichogundua hapa si hirizi si mzizi ila moyo umeridhia Nashawishika kusema U the Most AMAZING women second to ma mumy Nataka dunia nzima ijue nakupenda mama yoyo wangu na nimeamua kushow love na kuwashauri wana jf hasa wana MMU Kwa wanaume wapendeni na kuwaheshimu wake zenu michepuko sio dili na namna ya kutomchoka mkeo ni kugegedana kwa ratiba lakini pia usipende kuutazama uchi wa Mkeo kisaikolojia hukiniasha na kusababisha kuchokana

Long live my wife..........................................!!!

Hongera bwana mkubwa! Lakini dunia nzima itajuaje ikiwa humu jf tu hatujuani
 
ukijua na kufahamu jambo likishatendeka hakuna kurirusha nyuma yake na kurekebisha basi huwezi kamwe kua na hasira just assume mke wako kamegwa then what next ?? utarudisha nyuma kwamba hajamegwa kwa hasira binafsi nikimfumania mke wangu kamegwa Nasubiri miezi mitatu nampima hana ngoma tupo poa nafunga safari kwenda dubai au zanzibar kwenda kupoza uchungu namtoa out visiwa vya mbali kisha namwambia asirudie tena namsamehe bura kwangu hakuna kosa la kuachana nasamehe kama Mungu hata mke wangu akifanya kosa jekundu kama damu nami nitamsamehe na kufanya ang'are kama theluji moto ni ule ule

EVEN GOD CAN NOT CHANGE THE PAST Nakupenda mke hata shetani angeogopa???????????????????????//

Hongera sana, narudia tena omba yasikukute,kuongea ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom