Si Hirizi Si Mizizi Moyo umeridhi.................a

Si Hirizi Si Mizizi Moyo umeridhi.................a

Heri yako, baki hivyohivyo ukija huku kwetu ndio utapotea lotelote...we tu ache tu sisi tunaocheza mechi za nje
 
Jamani mjifunze basi kuwa na positive attitude sometimes,jamaa kaamua kuwa open ni kiasi gani anampenda mke wake mpeni sapoti angalau.
kama hao ndo wanajiua kwa ajili ya mapenzi pindi wanaposalitiwa,au akiambiwa mke wako anatafunwa hawezi kukubali
 
Back
Top Bottom