Si hamu ikanishika bwana 😉 - njoo tuzogoe!

Si hamu ikanishika bwana 😉 - njoo tuzogoe!

Acha tu dadaake kuna mahala unapelekwa unamuachia mtoto wa mtu mikwaruzo ya kucha mgongoni na mikononi hahahaha 😌
200 14.GIF
 
Madam unaufahamu fika uji wa pilipili hasa katika kipindi hiki cha futari kwa wingi na sukari huyu Seran anastahili kupakwa asali ila sasa anataka kuwalambisha wengine asali hawezi biashara
NI kama nimeelewa ila sijaelewa 🤷‍♀️
 
😂😂😂 yuko humu JF na atasoma hapa pia.
Hakunifikisha wala nini, vile tyuuh namkubalii kinoumaa. Huyu mmeru anajuaga kunimaliza.
Ni ile nimkumbatie nimbanee aaachiapo uji wa lishe, nikakuta nimekwarua ubavuni.
😂😂😂
Eti uji wa lishe 😂 😂
Usikute yeye alifikiri umemkwarua sababu kakufikisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom