Shwaini.....

Hii nyama ya hii kitu tamu Sana wakristo msio na sababu na hamjawahi Kula hii nyama mnapitwa na mengi matamu tuliyopewa na mwenyezi MUNGU
 
Mbuzi katoliki aka kitibaridi aka mdudu aka pok. Wale jamaa wa pale mikasa wanaitengeneza poa sana
 
Kuna mtaalamu mmoja pale Bunju A, yupo karibu na hostel ya masista wa shirika fulani la kikatoliki.
Anajua kuitengeneza hii kitu... Kwa walio itafuna siku hiyo walinisimulia kweli kwakua mimi ni ustaadh nilikua pembeni najigongea kwapa la jogoo wa kienyeji.
 
Duuu mkuu sifa zote umesifia kumbe kibarakashia
 
Halafu baada ya kummeza huyo kiumbe,pata na hii kitu mbona utaona Bongo zaidi ya peponi.
 
Mbuzi katoliki aka kitibaridi aka mdudu aka pok. Wale jamaa wa pale mikasa wanaitengeneza poa sana
Achana na hapo mikasa rudi hapa barabarani Njoo na tanesco kabla hujafika Kwa hapa Kuna grocery kubwa kama tatu katikati Kuna mafundi furniture Sasa pale jioni Kuna kitimoto Safi hujawahi kudhani. Karibu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…