Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Yaan naona kulitifukaJamaniii
Yaan naona kulitifukaJamaniii
Dada mambo?Mpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge
Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
Haya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vileeNdiooo

Nakazia naunga mkono hojaHuu Uzi inabidi ufutwe
Hakuna namna toa tuHaya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vilee![]()
Acha kisebengo dadaHaya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vilee![]()
Usijichekeshe
Haahahah bado mkuu inabidi niandae uzi wa kutafuta couple hali ni mbwayi na hichi kibaridi ndio balaa kbsMkuu wewe bado hujapata couple humu ndani? Angalia bhana unaweza ishia kuhesabu couple za wenzako tuu
Ujue sijarudi rasmi, yaan naingia na kutokaUsicheke karibu ndiyo umerudi

Nipo hapaMbona aji uyo mrembo mwenyewe
Hivi unavyocheka unamaanisha nini?
Ahahhaa unanifurahisha sana neyHivi unavyocheka unamaanisha nini?
Muone vile
AhahahaaaaaaAhahhaa unanifurahisha sana ney
Kama ivyo safi jinsi ulivyo ana haki ya kudataNipo hapa
Anzisha fasta mkuuHaahahah bado mkuu inabidi niandae uzi wa kutafuta couple hali ni mbwayi na hichi kibaridi ndio balaa kbs