Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Wewe ndiye uliyeharibu kwa kushangaa kwasauti mpaka kila mtu akagundua kwamba mlimbwende hana wowow

Ulisahau kama siku hizi kuna skintite za sponchi yaan ni zaidi ya wowow
Hapana sijaharbu ney bwana mie nilishtuka tu unajua siku hz teknolojia imekuwa kubwa sana usikute mie nafanyiwa editing tu
 
me pia Demiss wangu sema unaniudhi kitu kimoja kutomfungukia yuleeee yuleee si umejua eenh mfate pm anza kumzoea kwa salaam niniii mengine yatajileta usije ukakufwa na utamu wako
Mambo ya kungwi hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom