Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Sijamuona mtoto mzuri Mzigua90
Asante Sakayo ubarikiwe sanaJamani Young... Tunakupenda pia kaka etu jamanii.
Mungu azidi kukuweka kwa ajili yetu tuu, mibaraka ya Mungu iwe nawe daima! Hakika umekuwa kaka bora kwetu!
Nakazia tena, TUNAKUPENDA! 2019 Uwe mwaka wa mafanikio kwako!
Ameen youngKabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app


tunakupenda sana Mungu wetu azidi kutubariki tu na kutupa hekima na busara
Ameen carba akee tuzidi kubarikiwa sote mpenzi

Niko hapa tamu
Ameen shemela wangu uzidi kubarikiwa


Hahhaha nikuletee kamba
Ni kweli vidume vya mbegu haswaaaa
HallelujahJamani Young... Tunakupenda pia kaka etu jamanii.
Mungu azidi kukuweka kwa ajili yetu tuu, mibaraka ya Mungu iwe nawe daima! Hakika umekuwa kaka bora kwetu!
Nakazia tena, TUNAKUPENDA! 2019 Uwe mwaka wa mafanikio kwako!
Acha wivuuuuYaaani kuna watu from nowhere wanapata umaarufu kizembe hapa JF!!! Sijui ni ndumba?!?!
Ndiooo young sisi vidume haswa na wewe si unalifahamu hilo
Hahaha hahaha
Ndiwooo
Maombi tu mkuuYaaani kuna watu from nowhere wanapata umaarufu kizembe hapa JF!!! Sijui ni ndumba?!?!