Shule Zinazofungua mapema advanced level.

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Habar jf,

Ninatumai mu wazima na mnaendelea vema kufatilia hii series ya Mh Makonda.

Moja kwa moja kwenye maada, naomba msaada kwa anaejua shule za private ambazo huwa zinawah kufungua kwa michepuo ya sayansi. Shule iwe nzur i dont care its location

Ahsanten
 
Back
Top Bottom