Shule zao hazifanyi vizuri, ila wanatoa top ten ya Matajiri

Mnakoendea mtawaharibia watu hapa

Magufuli atafunga watu wanaoorodheshwa halafu kulipa kodi utata

Msianze kuanika majina ....mnawatafutia shida
Muulize kati ya hao wote wangapi waswahili na pia wametafuta wenyewe baada ya shule,sio za kurithi.

Bomba Mvua
 
Hahaha lakini ukiangalia vibaka wengi wao, hata ukitokea uhalifu yakitajwa majina yaangalie vizuri utakuta wanaongoza, biashara za unga wakikamatwa angalia majina wao wanaongoza, hata mateja ukiwakamata 10 ukiwauliza majina wao wanaongoza.
Kweli wanaongoza kila kitu.
Kwasababu idadi yao ni kubwa kulinganisha na hao wengine hivyo lazima iwe hivyo tu,maana hata kwenye utuezi wapo wengi pia.

Bomba Mvua
 
aaaah umesema vizuri sana sasa ujue kuwa watanzania 90% ni waislamu ndio maana unaona wakiamua mwezi wa ramadhani nchi inakuwa tulivuu kabisa kwa ibada wenye baa wanakosa biashara mahotel mengi yamefungwa waislamu ni wengi
Umesahau mkuu hata Kitimoto hautoki mwezi huo

Bomba Mvua
 
Sijaona shehe mwenye asili ya bongo alafu akawa tajiri hata siku moja.

Kama ndio wale wa kushinda kwenye vijiwe vya kahawa unategemea atakuwa vizuri darasani? Na hata utajiri?

Hao matajiri unaosemea ni wale wenye asili ya nje ya Tanzania na wamerithi toka kwa baba xao.

Sasa usijifariji kwa ujinga wako.

Wakatoliki ni watu wenye akili nyingi sanaaaa.

Na mfumo wao wa maisha mtu mwenye akili fupi ( ndondocha) kama wewe ni vigumu kuwafahamu.

Watu wana miliki mitaasisi kibao kila kona ya nchi tena wamevunja vunja kwa majina tofauti ingawa ziko chini ya wakatoliki.

Ukikusanya Mali zote hizo kwa pamoja utabroo mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha lakini ukiangalia vibaka wengi wao, hata ukitokea uhalifu yakitajwa majina yaangalie vizuri utakuta wanaongoza, biashara za unga wakikamatwa angalia majina wao wanaongoza, hata mateja ukiwakamata 10 ukiwauliza majina wao wanaongoza.
Kweli wanaongoza kila kitu.
Wakristo Tanzania wapo 34% ya watu wote

#bamia_ndefunene
 
Mm binafsi ni mkristo RC, pamoja na kwamba shule zetu zinafanya vizuri kitaifa katika nyanja mbalimbali kuanzia vyuo, secondary na shule za msingi, ni jambo zuri sana kwa Show katika jamii. Kwa upande wa wenzetu shule zao hazifanyi vizuri Sana yawezekana hatawe kwenye Top ten hawapo kabisa,

kinachonifanya niwakubali Hawa jamaa ni pale wanapoweza kuwa na nguvu kubwa za kiuchumi Tanzania, wakati Shule za Roman Catholic zikiongoza kwy top ten kitaifa wao wanaongoza kwenye top ten za utajiri Tanzania, hebu jiulize ni tajiri gani wa Roman Catholic aliyopo kwenye Top ten?

Licha ya kuwa wanatoa wanafunzi wenye akili, kuna jambo la kujifunza hapo,hao wanafunzi huishia wapi?

Maana hatuoni impact yao. Kwa maana nyingine wenzetu wanasoma kwa malengo sisi tunasoma kwa shoo off, tuongoza kwenye kufaulu basi tunakuwa tumelewa sifa, please huo ni mtazamo wangu tu.
Curriculum zetu za hovyo. Hazilengi kuzalisha matajiri, zinalenga kuzalisha wasomi tegemezi
 
Sawa asante kwa mtazamo wako.

Ila nna maswali naomba nkuulize;

Je wanafunzi wote wanaosoma katika shule za kikatoliki ni wakristo hakuna wa dini nyingine na pengine hata wasiokuwa na dini?

Na kama wote ni wakristo je ni wakatoliki wote au kuna madhehebu mengine kama vile wasabato,walutheri na walokole?
Namshangaa kwani kwenye hizo shule hadi Islamic wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm binafsi ni mkristo RC, pamoja na kwamba shule zetu zinafanya vizuri kitaifa katika nyanja mbalimbali kuanzia vyuo, secondary na shule za msingi, ni jambo zuri sana kwa Show katika jamii. Kwa upande wa wenzetu shule zao hazifanyi vizuri Sana yawezekana hatawe kwenye Top ten hawapo kabisa,

kinachonifanya niwakubali Hawa jamaa ni pale wanapoweza kuwa na nguvu kubwa za kiuchumi Tanzania, wakati Shule za Roman Catholic zikiongoza kwy top ten kitaifa wao wanaongoza kwenye top ten za utajiri Tanzania, hebu jiulize ni tajiri gani wa Roman Catholic aliyopo kwenye Top ten?

Licha ya kuwa wanatoa wanafunzi wenye akili, kuna jambo la kujifunza hapo,hao wanafunzi huishia wapi?

Maana hatuoni impact yao. Kwa maana nyingine wenzetu wanasoma kwa malengo sisi tunasoma kwa shoo off, tuongoza kwenye kufaulu basi tunakuwa tumelewa sifa, please huo ni mtazamo wangu tu.
Imagine kijana anasoma geograpy civics,kiswahili, history miaka 7 then miaka 4 then miaka 2 jumla miaka 11, alafu akimaliza anaambiwa hakuna ajira, ajiajiri. obvious Huyu utajiri atausikia kwa kina Mo na manji
 
Umechanganya asili na dini, hao unaowasema wengi wana asili ya Asia na utajiri wao wengi ni urithi.... Na wengi walio matajiri toka Asia au asili ya huko hawanaga mambo ya kushobokea dini kama #faiza_fox
Mm binafsi ni mkristo RC, pamoja na kwamba shule zetu zinafanya vizuri kitaifa katika nyanja mbalimbali kuanzia vyuo, secondary na shule za msingi, ni jambo zuri sana kwa Show katika jamii. Kwa upande wa wenzetu shule zao hazifanyi vizuri Sana yawezekana hatawe kwenye Top ten hawapo kabisa,

kinachonifanya niwakubali Hawa jamaa ni pale wanapoweza kuwa na nguvu kubwa za kiuchumi Tanzania, wakati Shule za Roman Catholic zikiongoza kwy top ten kitaifa wao wanaongoza kwenye top ten za utajiri Tanzania, hebu jiulize ni tajiri gani wa Roman Catholic aliyopo kwenye Top ten?

Licha ya kuwa wanatoa wanafunzi wenye akili, kuna jambo la kujifunza hapo,hao wanafunzi huishia wapi?

Maana hatuoni impact yao. Kwa maana nyingine wenzetu wanasoma kwa malengo sisi tunasoma kwa shoo off, tuongoza kwenye kufaulu basi tunakuwa tumelewa sifa, please huo ni mtazamo wangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiingia pale kkoo maduka ya spare, na ukienda Dubai n China waislam ni wacharikaji na risk takers pia hata mabasi mengi ya mkoan na daladala ni wao...hulka ya waislam iko kwenye biashara hata mtu akisoma huenda asitafute kazi akafanya yake japo siku hizi wote wako na uchakarikaji kila sekta hata elimu
 
Mkuu embu acha kubashiri mambo unataka kuniambia kina dewji na wengineo wamesoma hizo shule zilizochoka za huko unguja??

Usichanganye mambo hapa. Wao ni waislamu ila nina uhakika hawajasoma hizo shule huko unguja wengi wao wamesoma feza ist nk

Kitu kingine unachochanganya darasani hufundishwi utajiri darasani unafundishwa proffession. Utajiri ni factor ya mambo mengi including working hard , right network, connections etcetc sasa unapotaka mtu anaepiga one awe tajiri unakuwa unamwonea. Huyo mtu inabid umchallenge kwenye proffesionalism yake

Waislamu wengi sio proffessionals kwa sababu hawajasoma (walifeli) ila ni wafanya biashara wazuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom