Shule zao hazifanyi vizuri, ila wanatoa top ten ya Matajiri

Eeh utajiri gani mpaka muibe makazini mwisho munaishia segerea na ufisadi mnaoufanya serikali .. waislam mostly wapo kwenye biashara nyie endeleeni kuibia serikali na elimu zenu ok
Biashara Haram za unga na ndio maana mateja wote Ni waislam sijui hua Kuna kipindi Cha kuuziana unga misikitini?
 
Eeh utajiri gani mpaka muibe makazini mwisho munaishia segerea na ufisadi mnaoufanya serikali .. waislam mostly wapo kwenye biashara nyie endeleeni kuibia serikali na elimu zenu ok
Mkristu gani Yuko segerea kwa sababu ya KUIBA?

Mimi nitakutajia waislam
Malinzi Ni mmoja wao
 
Mkristu gani Yuko segerea kwa sababu ya KUIBA?

Mimi nitakutajia waislam
Malinzi Ni mmoja wao

Malinzi ...!! Embu wataje watumishi wa uma ni wangapi wanamakesi?! Idadi yao haielezeki na ni kina Nani 🤣🤣 kina Kitilia and Co.. Embu usituchoshe sie
 
Watoto wengi wa Kiislam wanasoma shule na vyuo nje ya nchi nenda India Canada Uturuki utawakuta huko na wakirudi wanaajiriwa kwenye investment zao Kama viwanda au biashara huwezi kuwaona serikalini hao
 
waislamu wengi wanafanya biashara alafu hodari sana kwenye biashara.

wakristo wanasubiri kuajiriwa serikalini kutegemea mshahara.

matokeo lazma waislamu watatoboa tu,,
 
Eeh utajiri gani mpaka muibe makazini 🤣🤣 mwisho munaishia segerea na ufisadi mnaoufanya serikali .. waislam mostly wapo kwenye biashara nyie endeleeni kuibia serikali na elimu zenu ok
Siyo waislamu, ni waarab na wahindi ambao siyo wote ni waislam
 
Mm binafsi ni mkristo RC, pamoja na kwamba shule zetu zinafanya vizuri kitaifa katika nyanja mbalimbali kuanzia vyuo, secondary na shule za msingi, ni jambo zuri sana kwa Show katika jamii. Kwa upande wa wenzetu shule zao hazifanyi vizuri Sana yawezekana hatawe kwenye Top ten hawapo kabisa,

kinachonifanya niwakubali Hawa jamaa ni pale wanapoweza kuwa na nguvu kubwa za kiuchumi Tanzania, wakati Shule za Roman Catholic zikiongoza kwy top ten kitaifa wao wanaongoza kwenye top ten za utajiri Tanzania, hebu jiulize ni tajiri gani wa Roman Catholic aliyopo kwenye Top ten?

Licha ya kuwa wanatoa wanafunzi wenye akili, kuna jambo la kujifunza hapo,hao wanafunzi huishia wapi?

Maana hatuoni impact yao. Kwa maana nyingine wenzetu wanasoma kwa malengo sisi tunasoma kwa shoo off, tuongoza kwenye kufaulu basi tunakuwa tumelewa sifa, please huo ni mtazamo wangu tu.
Utajiri hauko na mahusiano moja kwa moja na elimu, pili shule za wakatoliki hawasomi wakatoliki tu kila mtu ana nafasi ya kwenda mradi awe na uwezo wa kulipa ada na kufaulu usaili.
 
Mm binafsi ni mkristo RC, pamoja na kwamba shule zetu zinafanya vizuri kitaifa katika nyanja mbalimbali kuanzia vyuo, secondary na shule za msingi, ni jambo zuri sana kwa Show katika jamii. Kwa upande wa wenzetu shule zao hazifanyi vizuri Sana yawezekana hatawe kwenye Top ten hawapo kabisa,

kinachonifanya niwakubali Hawa jamaa ni pale wanapoweza kuwa na nguvu kubwa za kiuchumi Tanzania, wakati Shule za Roman Catholic zikiongoza kwy top ten kitaifa wao wanaongoza kwenye top ten za utajiri Tanzania, hebu jiulize ni tajiri gani wa Roman Catholic aliyopo kwenye Top ten?

Licha ya kuwa wanatoa wanafunzi wenye akili, kuna jambo la kujifunza hapo,hao wanafunzi huishia wapi?

Maana hatuoni impact yao. Kwa maana nyingine wenzetu wanasoma kwa malengo sisi tunasoma kwa shoo off, tuongoza kwenye kufaulu basi tunakuwa tumelewa sifa, please huo ni mtazamo wangu tu.
Top ten ya matajiri ina waislam wa Tanzania au wenye asili ya Asia?
 
10/60,000,000 utaona hii ni sehemu ndogo mnoo ya waTZ unayoizungumzia..

Idadi iliyobaki ni kubwa na yenye mchango nyanya katika ukuaji wa jamii na ndimo unawapata hao unaowazungumzia..

Kuwa tajiri ndani ya top10 haimaanishi kuwa na direct impact katika jamii je wanarudisha chochote ama ni sisi raia ndiyo wanazikusanya kutoka kwetu..

Wamejenga shule ngapi, hospitali ngapi, wanafund watoto wowote katika masomo yao, wanafund research ngapi ili kutatua matatizo yanayotukabali, kama hawafanyi mojawapo kati ya hays basi utajiri wao hauna impact chanya...

Tofauti na hivyo wao ndiyo wanaitumia jamii kujineemesha, ajira za kikandamizaji, bidhaa zao fake, na hata kodi hawalipi inavyostahili.. huwezi sema wanaimpact kwa jamii...
 
Back
Top Bottom