englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hizi anasa............kwa
sisi wengine.
hivi nako huko school bus hujaza vitoto hadi vikakanyagana kama huku
kwetu?? manake jamani shule kama st ANN's mbezi makabe yaani school bus
inajaza vitoto utafikiri kreti za soda kweye gari la coca
Hivi ile ahadi ya JK kuwa ataboresha swala la TEKNOHAMA/TEHAMA kwa kuakikisha shule zote zitaunganishwa kwenye mkongo wa taifa, je hii ishu imefikia wapi...
Demu wa mwenzio ni wako.....Mtoto wa mwenzio ni wako...
Maisha ya mwenzio ni yako...
Utajiri wa mwenzio ni wako...
Ujinga wa mwenzio ni wako..
Na kadhalika ya mwenzio ni yako...
Endeleaaaa!
madarasa tu hayana madawati hizo komputa zitakaa wapi??
umasikini wako ni wakoDemu wa mwenzio ni wako.....
hizi anasa............kwa sisi wengine.
hivi nako huko school bus hujaza vitoto hadi vikakanyagana kama huku kwetu?? manake jamani shule kama st ANN's mbezi makabe yaani school bus inajaza vitoto utafikiri kreti za soda kweye gari la coca
hahahahha! Unahatari wewe!!!!!!!!!!hapo ndio wanabaki kufundisha watoto ict kwa kuwachorea "sipiyu" ubaoni. Eti "unabonyeza kidude ukiona rangi ya buluu ....". Lol!
hahahahha! Unahatari wewe!!!!!!!!!!