Shule za wenzetu

Shule za wenzetu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
schoolbus-resizecrop--.jpg
 
hizi anasa............kwa sisi wengine.
hivi nako huko school bus hujaza vitoto hadi vikakanyagana kama huku kwetu?? manake jamani shule kama st ANN's mbezi makabe yaani school bus inajaza vitoto utafikiri kreti za soda kweye gari la coca
 
ha ha imekaa vizuri ,ila huku kwa barabara ipi?
 
Mtoto wa mwenzio ni wako...
Maisha ya mwenzio ni yako...
Utajiri wa mwenzio ni wako...
Ujinga wa mwenzio ni wako..

Na kadhalika ya mwenzio ni yako...


Endeleaaaa!
 
hizi anasa............kwa
sisi wengine.
hivi nako huko school bus hujaza vitoto hadi vikakanyagana kama huku
kwetu?? manake jamani shule kama st ANN's mbezi makabe yaani school bus
inajaza vitoto utafikiri kreti za soda kweye gari la coca

Hivi ile ahadi ya JK kuwa ataboresha swala la TEKNOHAMA/TEHAMA kwa kuakikisha shule zote zitaunganishwa kwenye mkongo wa taifa, je hii ishu imefikia wapi...
 
Hivi ile ahadi ya JK kuwa ataboresha swala la TEKNOHAMA/TEHAMA kwa kuakikisha shule zote zitaunganishwa kwenye mkongo wa taifa, je hii ishu imefikia wapi...

madarasa tu hayana madawati hizo komputa zitakaa wapi??
 
Mtoto wa mwenzio ni wako...
Maisha ya mwenzio ni yako...
Utajiri wa mwenzio ni wako...
Ujinga wa mwenzio ni wako..

Na kadhalika ya mwenzio ni yako...


Endeleaaaa!
Demu wa mwenzio ni wako.....
 
Mbwembwe zote hizo kama kichwani hawani kitu ni bure kabisa.
 
madarasa tu hayana madawati hizo komputa zitakaa wapi??

Hapo ndio wanabaki kufundisha watoto ICT kwa kuwachorea "sipiyu" ubaoni. Eti "unabonyeza kidude ukiona rangi ya buluu ....". Lol!
 
hizi anasa............kwa sisi wengine.
hivi nako huko school bus hujaza vitoto hadi vikakanyagana kama huku kwetu?? manake jamani shule kama st ANN's mbezi makabe yaani school bus inajaza vitoto utafikiri kreti za soda kweye gari la coca

Kumbe iko hivyo namuamisha mwanangu mara moja...duuuu hatari sana
 
hapo ndio wanabaki kufundisha watoto ict kwa kuwachorea "sipiyu" ubaoni. Eti "unabonyeza kidude ukiona rangi ya buluu ....". Lol!
hahahahha! Unahatari wewe!!!!!!!!!!
 
hahahahha! Unahatari wewe!!!!!!!!!!

Unadhani unatani best? Vitu vingine vinachekesha japo vinasikitisha sana. Hali ya shule zetu ni mbaya sana. Mie huwa nawaonea huruma sana watoto wanaosoma katika hizo shule.

Mtu waweza kujiona hauhusiki wala haikuhusu kwa vile watoto wako wanasoma kwenye shule nzuri zenye waalimu, vitabu, chakula, maabara na usafiri wa uhakika lakini unasahau kuwa kuna watoto wa ndugu zako wasio na uwezo wanasoma katika hizo shule zilizochoka kila idara. Halafu hapo hapo kuna wachache wamepeleka kuficha mamilioni Uswiss! Nchi hii bado tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom