Secret genius
Member
- May 3, 2020
- 56
- 36
Bora umeniwahiKisimiri ndio shule gani? Ni lini iliingizwa kwenye orodha ya 'watoto' wenye vipaji maalum?
Hata Matokeo wote wakipata Zero bado ni shule za Kipaji Maalum , TOfautisha Shule za Kipaji Maalum na Wanafunzi wenye Vipaji.......Kwahiyo hata wanafunzi wote wakifeli Bado hizo shule ni za vipaji maalum unless Serikali ibadilishe.Kuna hizi shule Tanzania wanasema ni za vipaji,kisimiri,kilakala,ilboru,kibaha,mzumbe n.k,je kwa matokeo ya hivi karibuni bado zinastahili kuwa za vipaji(special school)
Matokeo yapi unayoyasemea mkuu? form 4 au 6? kama ni 4 sawa ila 6 hzo shule ni balaa na znafaulisha sana sasa sijajua unaongelea level ipi???Kuna hizi shule Tanzania wanasema ni za vipaji, Kisimiri, Kilakala, Ilboru, Kibaha, Mzumbe n.k.
Je, kwa matokeo ya hivi karibuni bado zinastahili kuwa za vipaji(special school)?
Sikubalian mkuuShule za vipaji ziliisha 2005/2006
Wivu tu.Shule za vipaji ziliisha 2005/2006
Kabisa mkuu Tabora school.. Waboyzia oyeeHiyo orodha bila Tabora Boys & Tabora Girls inakuwa batili.
Kwa Nini. Mana watoto wa siku izi wanafeli sanaSikubalian mkuu
Wivu unatoka wapi kama mnabwelaWivu tu.
Kuna hizi shule Tanzania wanasema ni za vipaji, Kisimiri, Kilakala, Ilboru, Kibaha, Mzumbe n.k.
Je, kwa matokeo ya hivi karibuni bado zinastahili kuwa za vipaji(special school)?
Ukiangàlia top 10 kitaifa hizi shule znatoa wanafunzi si chini ya5.... Shule unazosema wanafel ni hizi zingine apart from Tabra boiz,mzumbe,kibaha,ilboru,kilakala na tabora girls.... rejea matokeo ya hizi shule utaamini nachosemaKwa Nini. Mana watoto wa siku izi wanafeli sana
Yes! Nikuulize?Una nchi ya watu milioni 60
Huna namna ya kuvuna na kulea vipaji
Utapata taifa hoe hae tu,kila mtu anajifanya
China ina special schools
Marekani in Ivy League Schools
UK navyo hivyo hivyo
Kwamba kwenye society kuna watoto wenye akili nyingi by biological lottery,inabidi uvune na kuvilea vilete spark kwenye jamii jamii nzima iende mbele
Nyerere aliona hili ndio maana kajenga hizi shule za watoto wenye vipaji maalumu
Sasa wameingia viongozi kwanza hawana akili....plus wana wivu na watoto wenye akili nyingi,hivyo kwa chuki binafsi wamefuta zile shule ili nchi iwe ya wajinga kama yeye alivyofeligi shule
Aiseee.....tutakua wa mwisho tuu