arkam mpogoro
Member
- May 20, 2025
- 20
- 10
Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo kikuuu
Hoja yangu ni katika suala la kuchagua wanafunzi nakuendeleza uwezo wao. Katika kipindi changu cha masomo hakuna kitu cha ziada ambacho kimekuwa specified katika utoaji wa taarifa ambao unatutofautisha na shule za kata.
Pia namna ambayo ya wanafunzi wanachaguliwa yaani wenye ufaulu wa juu asilimia kubwa ni wale waliosoma shule binafsi ( Private schools) ambako mazingira ya kujifunzia na ufaulu wa shule unakuwa wa hali ya juu.
Pia wanafunzi ambao unakuta wanamaliza shule za kata ambako mazingira ya kujifunzia ni magumu anatokea mwanafunzi ambaye anapata division 1 ya point 10 lakini still mfumo wa uchaguzi unamchukulia ufaulu wa kawaida.
Binafsi ninaona wangewazingatia hawa vijana na kuwe na utofauti wa hizi shule na za kata maana mwisho wa siku unakuta mwanafunzi wa kata kafauli afu wa special school amefeli kabisa, hii inaonesha kigezo cha uchaguzi wa wanafunzi si sahihi.
YAPI MAONI YAKO??