Walimu wengi wa kawaida ila mazingira yanawashape wakomae kuwa nondo......shule km marian,na za watakatifu wengine ndio wanahakikisha wana vyote wanafunzi walimu na mazingira vyote viwe nondo!Jamani Member hili ndilo jibu SAHIHI kabisa
kuna kitu kinaitwa Pure Mathematic, Physics, Chemistry, Biology na Math ya kawaida na wanapewa waalimu pia vigongo maana wakizubaa wanaweza kufundishwa na haohao wanafunzi/
Hizi shule za siasa/siasa na kiswahili au Ualimu si za wataalamu (si za vipaji) ni kuwaandaaa wabwabwaji tu mitaani na kwennye vyama vya siasa CHUNGUZA
Wengine wanakimbia kabisa walozea mteremkoNilikuwa kipanga wa shule za kata nikapelekwa kipaji maalum A level aisee kumbe sikuwa special student ila nilifaulu maksi za special kwa upande o level yaliyonikuta kule siri yangu.
Achaa kujidai unajuaa akatii hujuii kituuu....!! Waalimu wanaofundisha Vipaji maalumu CV zao zipo njemaa kijanaa usiwakadiriee kishambaaHii dhana ya shule za vipaji maalum, inanipa shida kidogo kutokana na sababu zifuatazo;
Ndio, wanachaguliwa walio na maksi za juu, lakini:
- Walimu wanaofundisha ni walewale kama wa shule za kawaida,
- Mtihani wanafanya uleule kama wa shule za kawaida na kushindanishwa ni kule kule kwa vigezo vile vile.
Huu ukipaji maalum, unahusu nini haswa?
Wkt ule tunafanya masomo ma3, best yangu alipata 127 akaenda Mzumbe, mi nikabaki shule ya wilaya yetu na 121 yangu! The end justifies the means.. Jamaa yangu alipofikia nikisema itakuwa namsimanga!Wakati nakua mzee wangu alipenda niende shule moja hivi ya Vipaji maalum ila nilizembea nimekuja kujua alitaka nini tukiwa watu wazima.
Wkt ule tunafanya masomo ma3, best yangu alipata 127 akaenda Mzumbe, mi nikabaki shule ya wilaya yetu na 121 yangu! The end justifies the means.. Jamaa yangu alipofikia nikisema itakuwa namsimanga!
Refer post #30Mimi nilisoma Shule hizo sikuwa na division one, nilikuwa na daraja la 2,
Nyayo...Nimebahatika kusoma Mzumbe. Aisee, kule kuna inteligent creatures. Swali ambalo mtu wa kawaida anaweza lisolve kwa wiki tatu, kipanga wa Mzumbe analisolve kwa dk 15. Kuna watu wana akili, acha tu.
Ivi kusovu swali kwa dakika 15 ni kipaji maalum??Nimebahatika kusoma Mzumbe. Aisee, kule kuna inteligent creatures. Swali ambalo mtu wa kawaida anaweza lisolve kwa wiki tatu, kipanga wa Mzumbe analisolve kwa dk 15. Kuna watu wana akili, acha tu.
Hicho kipaji maalum ni kipi? Kucheza mpira, ngoma, kumba au kuchora??Wakati nakua mzee wangu alipenda niende shule moja hivi ya Vipaji maalum ila nilizembea nimekuja kujua alitaka nini tukiwa watu wazima.
Ivi kufaulu mtihan ni kipaji maalum? Nini maana ya kipaji?Ni wale walio na ufaulu wa juu darasa la saba ili kuingia kidato.cha kwanza,na waliofanya vizuri kidato cha nne kuingia kidato cha tano,mf.mm darasa langu f.vpcm kibaha enzi hizo.wote walikuwa na div one from.olevel,na AAA za combination
Kwann unasema shule za vipaji? Wana vipaji gani hasa?Ila ufaulu wa shule za vipaji ni kutokanaa na Wanafunzi kuwa SMART KICHWANI aisee wachache Sana wanaosubirii waalimu waje kufundishaaaa wengi wanasomaa Vitu mapemaa sanaaa
Kwa hapa kwetu Tz, ili uende hizi shule za vipaji maalumu kama Mzumbe, Kibaha, Ilboru na nyinginezo. Sifa kubwa ni kufaulu mitihani tu mzee.Ivi kufaulu mtihan ni kipaji maalum? Nini maana ya kipaji?
Hujajibu swali kwann unaziita vipaji maalum? Wana vipaji gani maalum?Kwa hapa kwetu Tz, ili uende hizi shule za vipaji maalumu kama Mzumbe, Kibaha, Ilboru na nyinginezo. Sifa kubwa ni kufaulu mitihani tu mzee.
Hicho kipaji maalum ni kipi? Kucheza mpira, ngoma, kumba au kuchora??
NB: kufaulu mtihan sio kipaji na kama ingekua kipaji basi st fransis na feza zilipaswa ziitwe shule za vipaji maalum.
Sio mimi ninaye ziita hivyo mkuu, kwa hapa kwetu tafsiri yao ya mwanafunzi kuingia hizo shule tajwa, "ufaulu " ndo unachukuliwa kama kipajiHujajibu swali kwann unaziita vipaji maalum? Wana vipaji gani maalum?