Shule za Tanzania Mweee




Tuacheni Maskhara hali ni mbaya sana



 
wiki 2 zilizopita nilikwenda kisarawe kijiji ccha sofu hali ndio mbaya zaid huko
 
wiki 2 zilizopita nilikwenda kisarawe kijiji ccha sofu hali ndio mbaya zaid huko


Mkuu, piga picha ulete hapa, hii ndio njia pekee ya kufungua macho Watanzania. Please do that for us.

Thanks
 
wiki 2 zilizopita nilikwenda kisarawe kijiji ccha sofu hali ndio mbaya zaid huko

kisarawe pwani ni wale wale wanaodai cdm wasifike huko kweli umasikini wa kutojitambua mbaya sana
 
Maisha bora kwa kila MTanzania ndo hayoo, tumejaribu tumeshindwa na hatutaki kujipanga upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…