ZIRO
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 896
- 659
Wewe ni kati ya matunda ya elimu mbovu nchiniMleta mada huna lolote!Inaelekea wewe ni kati ya walimu mliokuwa mnanufaika na michango ya wanafunzi.
Mmepewa ushauri wazazi ndio wenye wajibu wa kuji organise na kukusanya michango huku wakiisimamia wenyewe.Ninyi walimu mnataka nini?