Shule za Nimrod Mkono huko Musoma

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,531
19,385
....ndizo zilizofanya vibaya sana kwenye mitihani ya kitaifa; je zina matatizo gani ambayo yanahitaji kushughulikiwa mara moja? Mheshimiwa Mkono alijitolea sana kujenga shule hizo wakati akiwa well connected wakati wa utawala wa Mkapa na Kikwete lakini zimekuwa zikisuasua sana kitaaluma.
 
Back
Top Bottom