Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Kuna hizi shule zinazojiita 'international school' ambazo ada yake ya chekechea inaweza fika milioni 12 kwa mwaka n.k na wanatumia mitaala ya nchi za nje.
Na sijawahi kuwasikia katika shule bora kwa ufaulu, pale tunapotoa matokeo ya kidato cha nne au cha sita. Inawezekana labda, huwa hawashiriki katika mitihani ya baraza letu.
Hii inamaanisha, hizi shule zinatengeneza watu kwa kuwapa 'international standard', na kwa wale wanaosoma kwenye shule zetu hizi za kawaida kupata 'domestic standard'
Kidunia; huyu anayesoma 'international school', anaweza kusimama popote duniani, na akasikilizwa kwa sababu ana kiwango cha kimataifa.
Kwa mazingira haya, kama una kipato na unataka kijana wako awe wakimataifa; mpeleke kwenye hizo shule.