Voli kitoki JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 365 Reaction score 92 May 13, 2013 #1 Mwalimu wa kiingereza aliandika neno "KISS ME" na kuwaambia wanafunzi wasome kwa sauti. Mwl: say "kiss me"! wananfunzi: Mwaaaaaaa!
Mwalimu wa kiingereza aliandika neno "KISS ME" na kuwaambia wanafunzi wasome kwa sauti. Mwl: say "kiss me"! wananfunzi: Mwaaaaaaa!
Jmturu Member Joined Oct 13, 2011 Posts 56 Reaction score 9 May 13, 2013 #2 Wamemaanisha kuwa tayari wanalijua hilo neno kiss me.
ndendi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 625 Reaction score 186 May 14, 2013 #3 kijana mwingine alimuambia bibi yake mzaa mama,"kiss me"bibi akaguna na kumuuliza"hicho kis......mi, changu au cha mkeo?"
kijana mwingine alimuambia bibi yake mzaa mama,"kiss me"bibi akaguna na kumuuliza"hicho kis......mi, changu au cha mkeo?"