Shule yako mna la kujivunia kutoka kwa watia nia?

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Tangu kuanzisha kwa vyama vingi tumeshuhudia mpaka sasa marais wawili,mkapa na kikwete,wagombea uraisi wengi na watia nia wengo vile vile,twambie shule uliosoma uko nyuma(sio chuo) mnajivunia nani kati ya hao niliowataja .
bila kujali ni wa upinzani au chama tawala. Mi najivunia tunaye magufuli katoke seminary japo alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu akiwa form two.
 
Makamba mtt wa Patel na Dogo, airport kijiwe chetu ukichelewa class.
 
Tangu kuanzisha kwa vyama vingi tumeshuhudia mpaka sasa marais wawili,mkapa na kikwete,wagombea uraisi wengi na watia nia wengo vile vile,twambie shule uliosoma uko nyuma(sio chuo) mnajivunia nani kati ya hao niliowataja .
bila kujali ni wa upinzani au chama tawala. Mi najivunia tunaye magufuli katoke seminary japo alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu akiwa form two.

Kumbe ww ni wa Biharamulo
 
Mkapa, Ndanda High School, hao watia nia siyo wa kujivunia kwasababu huna uhakika kama watakanyaga ikulu.
 
Back
Top Bottom