alafu wanafunzi kama hawa unategemea wafaulu kwa alama za juu, subiri waosha vinywa waje na comment zao hapa utasikia "mimi nilisoma kwa shida sanaaa naloeka miguu kwenye beseni na mmbu wananing'ata, mwalimu haiingi darasani muhula mzima anakuja kuwatajia majina ya vitabu tu muende kujisomea wenyewe na nikafaulu kwa alama za juu sana"
longo longo tu hamna lolo, tusaidie vijana wetu japo wajisomee kwenye mazingira yenye unafuu wa kuweza kumfanya aelewe lile analofundishwa na mwalimu wake.