Shule ya Sekondari Scolastica katika kashifa nyingine

Shule ya Sekondari Scolastica katika kashifa nyingine

Sioni tatizo kwa Wakenya kupiga kazi iliyowashinda WaTz. Mbona wachagga wamejaa Gikomba market Nairobi. kwani wakikuyu hawajui kuuza mitumba ?
 
Huenda hii habari ni kweli, ila imendikwa kiushabiki mno lazima kuna history flani baina ya mleta mada na hiyo shule ya mtuhumiwa.
 
Hivi ushindani wa soko la ajira ndani EA, watanzania tunauweza kweli ?
Mosi, Nadhani pesa wanazochezea kwenye mfuko wa kusimamia hii jumuiya ya EA zitumike kufanya kampeni na mafunzo kwa raiya wote juu ya namna ya kukabiliana na ushindani unaotokana na matokeo ya kujumuika kwa mataifa kadhaa kwenye jumuiya hii ya EA.

Pili, Ndalichako anatakiwa apeleke mswada bungeni wa kubadili mtaala wa shule zote uwe ni mtaala kwa ajili ya kumuandaa kijana kwenda kushindana kwenye soko la ajira la EA na soko la ajira la dunia kwa ujumla na sio hizi "elo meno pink you" wanazowakaririsha watoto wa Tanzania matokeo yake kijana ana bachalor degree ila hana confidence hata ya kunyoosha sentensi 2 za kingereza kujadili maswala mbele ya panel.
Na ndiyo maana Vijana wa Tanzania wanaamini kwenye kutumia fitna, majungu na uchawi kupambana na washindani wao kwenye nafasi za vyeo na ajira.
 
Kilicho bora siku zote ndicho chaguo la wote. Tuache politics kwenye biashara, kila mmoja apewe uhuru wa kuchagua akitakacho ili mradi asivunje sheria.
 
Huu ujinga/upumbavu utaisha lini? mtu anasema matatizo unasema majungu ama kuhisi ni roho mbaya.
Mkuu, mie binafsi nimeunganisha dots hapo nikaona limekaa kijungu zaidi.. Hakukuwa na haja ya mleta uzi, kuunganisha tukio la mmiliki wa shule kuwa rumande kwa kosa la kuua, na hili la kuwa na walimu wasio na vibali.. Looks to me mtoa mada ana personal vendetta against mwenye shule na shule yake..
 
wewe unadhani huku hakuna uk tuliko hakuna wazungu wanaoweza kubeba box? mbona sisi watz na wakenya na waganda tunabeba tu
 
Jiwe alipokula trillion 1.5 zenu mliufyata kimya kama mbwa kaona chatu ' ... ila ya wengine mwa yashupalia shingo kama twiga ".. Bongo mnaweza fitina tu ... hamjui mtu katafuta vipi pesa mnachowaza nikumshusha ili wote muwe masikini ... jinga sana
 
haha

Sasa mzee baba sijui Mzee mama unanitukana kweli!

Nani kakuambia Tz penyewe ndipo watu wanafanya kazi bila vibali? kwa taarifa zako hadi USA, Canada, England watu wanadunda bila makaratasi.

Tena bongo watu wachache maana hakuna fursa.

Kuna watanzania wapo Kenya kibao na nchi zingine wanaishi bila vibali usifikiri nchi yetu tu ndiyo watu wanaishi bila makaratasi.

Ok, Sisemi watu waishi bila makaratasi maana ni kinyume cha taratibu.

Huyo mwenye shule si baba yako au mama yako ajenge shule kuwasaidieni sisi tusio na ajira. Jenga yako kama imekuuma.

Unajua jasho la kujenga biashara hata ya milioni 100 halafu kanakuja ka mtu mtandaoni kuleta ukiherehere! Lalamikia baba yako na mama yako kumaliza shule na kukosa kazi sio watu waliopigana na kuanzisha biashara zao.

Biashara yangu nikiamua nitaajiri mjaluo mzungu mchina au hata robots..hayo ya vibali vyao ukiherehere wako ndiyo utakufanya uyatangaze.
 
Back
Top Bottom