Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 767
- Thread starter
- #21
Mkuu tukiweka picha tunahofia baadhi ya wazazi watahamisha vijana wao.Picha wapi?
Kama upo interested njoo inbox au nicheki kwenye 0745596315
Mkuu tukiweka picha tunahofia baadhi ya wazazi watahamisha vijana wao.Picha wapi?
Jamaa hawezi kuweka picha huyu maana akiweka tu shughuli imeishaPicha wapi?
Unahofia wazazi kuhamisha watoto wao, na walimu je, hawatakuwa na hofu kibarua kuota nyasi, ama na wao wanauzwa bila kujua!Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina nyumba 2 za walimu
-Ina hosteli 2 za boys na girls
-Ina zahanati ya shule
-Ina kisima cha maji kirefu cha kisasa
-Ina umeme
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
-Ipo katika eneo la ekari 40
-Inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi kutoka main road.
Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.
Kwa ambae yupo Interested kabisa kabisa njoo inbox utapata details zote pamoja na kuitembelea uione.
Bei yake inaanzia Tsh bilioni 3 , lakini inazungumzika vizuri tuu na unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana wakuu.
Namba zangu za simu ni 0745596315
Umenena vyema madam.Buashara ya shule utafanikiwa kama matokeo ni mazuri. Ukifanikiwa kutoa div I na II za heshima, wateja utawakimbia.
Tatizo linakuwa ni jinsi gani utafikia lengo hilo.
Hongera kwa ujasiri, na huo ndiyo uanaume. Hua hatuogopi kusema neno roho inapotaka.Nisiogope kutaja dau langu
1bil naanza na 20mil niachwe niendeshe 1 yrs second payment 50mil inalipa 5yrs.
Mwanaume hutetemeki unapoomba kitu roho inataka bwana
Biashara ya shule utafanikiwa kama matokeo ni mazuri. Ukifanikiwa kutoa div I na II za heshima, wateja utawakimbia.
Tatizo linakuwa ni jinsi gani utafikia lengo hilo.
ungetupia picha ingependesa sana.Ni Kongowe ya Mbagala mkuu
Karibu saana mkuu.
Hawalipi ada au wamehama idadi ikapungua.Halafu wajuzi hebu watueleze hapa, inakuwaje mpaka shule inafilisika?
kwamba wanafunzi hawalipi ada au nini tatizo.
Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
- Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.
Mkuu hiyo ni bei ya kuiuza shule kama taasisi nzima na mali zake. Kinachoweza kupungua hapo na bei ikapungua ni eneo la ekari zilizo katika umiliki ndani ya hii taasisi. Vingine haiwezekani.Hii ni biashara nzuri, ila ninawasiwasi kidogo kwenye vitu ulivyoonesha kuwa pia vinauzwa, na kwa sababu hiyo naona vikiondolewa kama mtu havitaki, basi dau linaweza pungua.
Inamaana kweny hiyo bei utauza pia wanafunzi, waalimu na wafanyakazi wengine?
Je wao pia wamekubali kuuzwa?
Yap ni kijiji mkuummmh! Nyamagondo ni kijiji
Ndo unatokea huko?Yap ni kijiji mkuu
Ki vipi mkuuHiyo ni kujeuza kuwa kiwanda
Hahaaa mkuu unataka niseme..wasiojulikana si nitakua nimewarahisishia sana kazi!!Ndo unatokea huko?