Shule ya Sekondari Inauzwa

Shule ya Sekondari Inauzwa

Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina nyumba 2 za walimu
-Ina hosteli 2 za boys na girls
-Ina zahanati ya shule
-Ina kisima cha maji kirefu cha kisasa
-Ina umeme
-Ina wanafunzi na walimu na other staff
-Ipo katika eneo la ekari 40
-Inafikika vizuri kwa gari, ni umbali wa kiasi kutoka main road.

Kwa kifupi ina details nyingi lakini hatuzitoi zote in public kwa kuhofia wazazi kuhamisha wototo wao wakiliona tangazo live kwamba shule inauzwa.

Kwa ambae yupo Interested kabisa kabisa njoo inbox utapata details zote pamoja na kuitembelea uione.

Bei yake inaanzia Tsh bilioni 3 , lakini inazungumzika vizuri tuu na unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana wakuu.
Namba zangu za simu ni 0745596315
Niitaje jina mkuu?
 
picha za shule inayouzwa

eneo ilipo

majengo hali yake

ndipo watu tuanze ku bargain
 
Nisiogope kutaja dau langu
1bil naanza na 20mil niachwe niendeshe 1 yrs second payment 50mil inalipa 5yrs.
Mwanaume hutetemeki unapoomba kitu roho inataka bwana
Mkuu kwa hiyo hela labda uje tukuuzie ardhi tuu kipande kidogo. Maana kuna ekari zaidi ya 30 hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom