Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 767
- Thread starter
- #61
Haina haja kwa sasa mkuuNiitaje jina mkuu?
Haina haja kwa sasa mkuuNiitaje jina mkuu?
Hii itakuwa Dar Es salaam Christian Seminary.Ni mali ya kifamilia hivyo wameona ni bora kila mtu apate sehemu anayostahili.
Siyo hii mzeeHii itakuwa Dar Es salaam Christian Seminary.
Chimmy na nduguze
R.I.p Mzee Mugarura
Ukiachana na sababu aliyoitoa mleta mada, hapo juu. Mara nyingi huwa inatokana na kuwepo kwa poor administration tactics.Halafu wajuzi hebu watueleze hapa, inakuwaje mpaka shule inafilisika?
kwamba wanafunzi hawalipi ada au nini tatizo.
Hiyo ni kweli kabisa mkuuUkiachana na sababu aliyoitoa mleta mada, hapo juu. Mara nyingi huwa inatokana na kuwepo kwa poor administration tactics.
Karibu sana mkuu
Hiyo ni kweli kabisa mkuu
Yap hiyo ni advantage kubwa saana,N:B, uzuri unanunua pamoja na wanafunzi wake wote, wanakuwa hakuna kuhama
naomba unitumie picha PMYap hiyo ni advantage kubwa saana,
Mkuu katazame Pm kuna kitu nimewasiliana.naomba unitumie picha PM
Hata sifahamu mkuuHivi ile Bakilimuluziiii ilishapataga mteja
Biashara ya utumwa ha ha ha ha ha ha haKwahiyo mnataka mtuuzie na wanafunzi wake mumo kwa mumo?
Hahahaa hapana mkuuBiashara ya utumwa ha ha ha ha ha ha ha
Soma uzi wangu kwa chini niliweka bei.Tuwekee bei ndugu tujipime ubavu
Hapana mkuu hii ni biashara kama biashara nyingine tuu, ukiifanya kwa principles zinazotakiwa kihalali unapata faida sanaa.Shule binafsi ni mradi wa kutakatisha fedha haram, ukiifanya real unafilisika
Sijaitaja jina lakini mkuuHiyo shule naijuia financial ina hali mbaya mno wanafunzi wanahamishwa kila leo