Shule ya sekondari Engutoto-Monduli inaungua

Shule ya sekondari Engutoto-Monduli inaungua

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Moto ni mkubwa umeanzia mabwenini hali ni mbaya, Mungu asaidie moto unawaka hatari na hakuna fire wakuzima.

Mji mzima watu wameenda huko ni kelele watu wanalia kuna hatari kuleta majanga makubwa.

Updates
Kila kitu kimeungua bwenini yamebaki majivu tu.
 
Pamoja na kumwaga mbongo kama njugu? poleni sana ndugu zangu wamaasai!
 
Poleni wahanga wa ajali hiyo,

Swali la kujiuliza kwanini moto mara kwa mara shule za kanda ya kasikazini? Ni kweli maeneo mengine ya nchi hutokea ila kwa kanda ya kasikazini ni zaidi? why?
 
Poleni, tuambie hali ya usalama ya wanafunzi ikoje kwa ujumla.
 
Moto ni mkubwa umeanzia mabwenini hali ni mbaya, Mungu asaidie moto unawaka hatari na hakuna fire wakuzima.

Kwa serikali hii ya CCM unategemea kutakuwa na Fire Dept Monduli??

Huku kitovu cha nchi kwenyewe watu wanaunguliwa na majumba yao kila leo hizo gari za fire utaziona baadaye zikija kuzima majivu...
 
chanzo cha ajali nini halafu pale kuna chuo kikubwa cha jeshi kwa nini wakose gari la fire
 
Hivi Monduli kama Lowasa kashindwa kutoa huduma kama hizo, anataka nini kwenye uraisi?
 
Lowasa afanye fasta kupeleka faya extinguisher za nyumban kwake
 
Back
Top Bottom