Jamani, sio tu ku criticize bila msingi wa criticism. Nafikiri Baba Enock yuko sahihi kusema alichosema, serikali inao wajibu wa kuangalia mambo kama haya. Tukianza kuulizana wewe umefanya nini, maana yake hata barabara tunazotumia tuulizane hivyo hivyo. Serikali inao wajibu kwa raia wake, kwa kuwachagua wao kuwa viongozi wetu na stahili zinazoendana na hizo, serikali inaingia mkataba na watu wake kuwafanyia huduma za kijamii. To me, hii ina amount kwenye huduma ya kijamii. Ni mtazamo tu!