Hivi watoto wanaosoma kwenye shule kama hii, Wazazi wao nao huwa wanapiga kura kumchagua Diwani, Mbunge na Rais??? Napata picha kwanini Mgombea fulani hakwenda kupiga kampeni kwenye baadhi ya Mikoa. Na angekuja tulikuwa tumeuandaa uwanja wa shule hiyo kufanyia mkutano wake wa kampeni.