Shule ya msingi Kunguru Kinondoni yafungwa kwa kukosa choo

rpg

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
3,620
1,476
Wazazi wameshinikiza shule ya msingi Kunguru ifungwe baada ya kukosa vyoo kwa muda mrefu. Chanzo Channel 10.

Ni ajabu kuona katika karne hii ya 21 na miaka zaidi ya hamsini baada ya uhuru shule ya serikali inakosa vyoo.
 
Wazazi wa Shule husika wanashindwa kujenga choo wakati kuna Kamati ya Shule ni suala kujituma kila kitu ni kulaumu CCM.Amkeni mjiletee maendeleo.
 
Ukiona mtu mwenye akili timamu anaishabikia ccm, ujue kuna ka mrija ka ufisadi anapata toka serikalini
 
Wazazi wa Shule husika wanashindwa kujenga choo wakati kuna Kamati ya Shule ni suala kujituma kila kitu ni kulaumu CCM.Amkeni mjiletee maendeleo.
Kodi zetu mnapeleka wapi?hivi ni safari moja tuu ya nje ya nchi ya huyo vasco da gama ingejenga vyoo vingapi?ndiyo maana hata kina mama wazazi mnawaambia walete pamba za kujifungulia
 
Aibu ni kubwa zaidi ya hiyo. Magufuli anatumia fedha za taasisi za umma zinazochotwa kisiri nchi nzima. Hii haikubaliki.
 
Kodi zetu mnapeleka wapi?hivi ni safari moja tuu ya nje ya nchi ya huyo vasco da gama ingejenga vyoo vingapi?ndiyo maana hata kina mama wazazi mnawaambia walete pamba za kujifungulia

Kwenda nje ni sehemu ya kazi hata angekuwa nani shida ninyi mnasubiri kila kitu serikali.
 
Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya na mikoa wanapaswa kuchunguzwa. Wanazunguka kwenye taasisi za umma kuchukua fedha kwaajili ya kampeni za magufuli. Hii haikubaliki. Ni kinyume ya sheria.
 
Cha ajabu zaidi hiyo shule Ipo Dar tena Kinondoni,sasa piga hesabu huko Mikoani na Vijijini hali ipoje. Kweli CCM wametuona Watanzania ni Malofa na Mapumbavu.
 
Back
Top Bottom