Kwenda shule ni some times ni kupoteza muda!!!
Kuna watu watasema nasema hivo sabab cjaenda shule..mm nmesoma sn ndo maana masema hiv
Sina maana mbaya ila uliigaiga tu kwa wenzako, flani kaenda form six na mimi lazima niende!! utasoma kwa ku force, lkn kuna watu walipenda kwa moyo wote kuwa Clinical officers tu, na kweli wanafanya kazi nzuri zaidi ya Dr bingwas , na wanamiliki Hospitals kubwa sana na mabiashara mengine!!
walisoma kile wanachopenda, hata umwambie aache ile kazi hakuelewi. Mafanikio pia inategemea jamii uliyomo, ukiwa DSM na ka Diploma kako unaonekana mbuzi tu, mikoani huko ni heshima tele, Una mafanikio,
Siamini kuwa mtu anatajirika bila Elimu, haya maarifa, na taarifa, ni Elimu tosha, km ya drsani, tulisoma kuwa zamani Elimu ilitolewa kwa fasihi sasa kuna ''Fasihi andishi na Fasihi simulizi' Hizi zote ni Elimu pia ''Mali bila Daftari hupotea'' hapa utaandika nini bila Elimu?
Tatizo lenu kubwa mna undermine Std four,au seven, eti ile siyo Elimu ni hujasoma! kujua kusoma na kuandika ni Msomi sana, hata USA hkn wanaojua kusoma na kuandika. leo hii nafuga Mbuzi, na shamba la mipera kwangu. maarifa haya ni ya Elimu ya DRS la saba huko nyuma. kifupi niseme hakuna tajiri ambaye hakusoma. ila
Elimu gani?
wapi?,
lini?
nani?
ki vipi?
kwa nini? ndiyo tatizo sugu! utakuta mtu analia sana sana kwa moyo eti hakusoma! ukimchunguza Drs la saba. huyo ni msomi kwa kunzia hapohapo anaweza kusoma na akawa vyovyote! Mazingira nayo yanachangia sana. , mara ataona unamsanifu!! mtu km huyu kumsaidia ni kazi ya ziada
Mfano mazingira ya Mbeya ni ya kilimo kilimo, akijikita shambani lazima apasue tofauti na mtu anaye toka mazingira ya Mtwara kulee Mahurunga jembe kule ni msamiati japo ardhi nzuri.
Mwita Gachuma, alikuwa hana Elimu kabisa, lkn tajiri, ilibidi aende shule faster ili Biashara zake zivuke mipaka ya confined geographic areas, na kweli yuko vizuri. kwa sababu anaweza ku-argue intelligently,