Shule nzuri

Ipi dot com

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
270
225
Habari zenu wakuu?
Naomba msaada wa mwenye kufahamu hili, ukiondoa shule za serikali zinazofundisha watoto wakorofi je kuna shule (sekondari) inayo fanya hivyo angalau kujaribu?
 
Au shule gani inafaa kwa watoto wa aina hii?
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,648
2,000
Jaribu shule za Jeshi, kuna binamu yangu alikuwa mtukutu yaani alisumbua vibaya mno, kila shule anayotafutiwa lazima aharibu. Yaani alisoma kidato cha tatu miaka 4. Alipopelekwa Kizuka Sekondari kule Ngerengere alinyooka mwenyewe.
 
Ipi dot com

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
270
225
Jaribu shule za Jeshi, kuna binamu yangu alikuwa mtukutu yaani alisumbua vibaya mno, kila shule anayotafutiwa lazima aharibu. Yaani alisoma kidato cha tatu miaka 4. Alipopelekwa Kizuka Sekondari kule Ngerengere alinyooka mwenyewe.
<br />
<br />
asante mkuu ntakupm unipe detail zaidi nashukuru sana
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Kama mtoto wako umemshindwa unadhani waalimu watammudu.
Nyie ndio mnawaongezea waalimu matatizo. Kaa na mwanao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom