Siri ni niniHakuna cha nyota wala nini, watu tumeanza bila hata sumni na leo tuko mbali
Huu ni ukweli kabisa mtu anaona akishakua na cheti basi mambo yatajileta tu yenyewe ndio maana wengi kitaa wanapagawa, wanatoka na expectations kubwa sababu ya ma vyeti yao huku creativity ni 0.....ckitaa fursa bado zipo hatujawa na maisha magumu kushinda hata wa Kenya hapo.Ati mtu usome alafu ukose hata hela ya kula, kuendesha maisha yako, wewe si lofa tuu!
Wasomi wengi kinachowaponza ni high expectation than Creativity
Huu ni ukweli kabisa mtu anaona akishakua na cheti basi mambo yatajileta tu yenyewe ndo maana wengi kitaa wanapagawa,, wanatoka na expectations kubwa sababu ya ma vyeti yao huku creativity ni 0 .....kitaa fursa bado zipo hatujawa na maisha magumu kushinda hata wa Kenya hapo
Hahaha madogo wanatoka na mavyeti yenye marks mingi wanajua hizo marks ndio kila kitu mtu anakwambia sifanyi kazi chini ya laki 8 au milioni wakati hata experience hana kabisa mwisho wa siku wanaishia tu kuwa na stress kitaaNa dharau, mtu anadharau kazi kwa nini asihenyeke
Hahaha madogo wanatoka na mavyeti yenye marks mingi wanajua hizo marks ndo kila kitu mtu anakwambia sifanyi kazi chini ya laki 8 au milioni wakati hata experience hana kabisa mwisho wa siku wanaishia tu kua na stress kitaa
Nimependa huu msemo.Kidume kila kigumu kwake hukilainisha
Huyu mtoto ana akili sana. Ni watu wachache sana wanaolijua hiliWakuu!
Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa.
Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa.
Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi kiakili darasani basi jua kimtaa hutanizidi, na hilo nimelimudu.
Masomo ni magumu kuliko mtaa. Mitihani ya darasani ni migumu kuliko ya kitaa.
Kitaa wajinga wapo wengi ni uwezo wako kuwatumia. Kitaa fursa zipo nyingi ni uwezo wako kuzitumia. Unashindwaje kwa mfano?
Darasani waalimu walikuwa wachache na vitabu vilikuwa vichache lakini bado watu tulinyoosha misonge na kuweka vijiti, NECTA wanatujua, TCU wanatujua, na mtaani wanatujua.
Hakuna kazi rahisi kama kupata pesa kwenye jamii masikini na watu wajinga. Ila hakuna kazi ngumu kama kupata elimu kwenye jamii masikini na watu wajinga.
JokaJeusi nazielewa sana harakati zako Mkuu.Wasomi uchwara, jitu linasoma alafu linajitenga na jamii yake.