Hapo inategemea na chuo na course unayosoma, kuna degree nyingine ukiwa kwenye hali kama hiyo basi wewe ni Disco, degree zingine kama umefiksha GPA inayotakiwa kwa mwaka basi una carryfoward hilo soma la kulifanyia mtiani mwaka unaofutaHABARI hv ukiwa umepata supplimentary bt kwenye kwenye corsework huna marks or ulipata zero.so hapa nini natakiwa nifanye.ili kuclear it.na sup umefanya but matokeo hayajabadilika