IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
- Thread starter
- #21
Shule yenu ni bomu kweli, yaani wanafunzi wanafeli hata kozi za awali kabisa za kompyuta, loooo, aibuuu
Ni mmoja kati ya wasio elewa maana ya promo hii. We unaleta itikadi zako, nani kafeli Computer course! penye kila mafunzo kuna viwango vya kufanikiwa na inatokea wengine wakafeli!! umesoma chuo kikuuu wewe, labda huna experience ya haya nisemayo!! ENDELEA NA UELEWA WAKO HUOHUO, WAPO WATAKAO KUUNGA MKONO NA WAPO WENYE AKILI PEVU ZAIDI!