aupa
Member
- Jul 29, 2015
- 49
- 9
Katika pitapita zangu nilipita Chato kwa mh. Na kuona kituo kimoja kinaitwa CHATO VIEW OPEN SCHOOL. Jamaa hawa wanatisha kitaaluma maana matokeo yao ya kidato cha nne walikuwa na Div IV 3 tu za 28 na mbili za 26. Wanafunzi wao wengine wote walifaulu vizuri.
Kwa waliofanya mtihani wa maarifa yaani (QT) WOTE walifaulu.
Nikaona kizuri nile nanyi wenzangu. Ni kituo kipya hivyo mwaka huu kwa kidato cha nne kilidahiri wanafunzi 17.
0757 345 835 kama utavutiwa. Mtihani wanafanyia CHATO SECONDARY SCHOOL CENTRE P0686