Shule kumi ghali Tanzania

Huyu jamaa kikiwekwa kitu chochote lazima atafute cha kupondea.
Na wewe kikiwekwa kitu chochote kile lazima ujifanye mjuaji.No wonder niliona humu JF wamekubatiza jina wanakuita MRS KNOW IT ALL.
 
Haya Sasa mkuu, halafu Hawa ombaomba wa JF wanakuja kujifanya wanazijua Saana hizo shule.
Hawazijui hizo shule ndo maana wanapiga kelele...

Ni shule zenye culture tofauti sana sababu zina wanafunzi wa different countirie so wanaishi kiinternational zaidi hata walimu wao wengi sio local...

Wanafunzi wao hawafundishwi chochote kuhusu tanzania wala tamaduni za kitz hawaandaliwi kuishi hapa hata kiswahili hawajui
 
Hili umelithibitisha kuwa linapatikana katika mtaala wa IB au campbridge?
 
Angalau wakipewa uzoefu Kama hivi ndio wanakua wanapata picha ya Hali halisi ya huko mkuu.

Na ukisoma hii thread ndipo utajua Wazazi walioko JF na exposure Yao kwny mambo ya shule za kimataifa zilivyo zero.,Ila kwa ujuaji wanajifanya ndio wenyewe.
 
Angalau wakipewa uzoefu Kama hivi ndio wanakua wanapata picha ya Hali halisi ya huko mkuu.

Na ukisoma hii thread ndipo utajua Wazazi walioko JF na exposure Yao kwny mambo ya shule za kimataifa zilivyo zero.,Ila kwa ujuaji wanajifanya ndio wenyewe.
Achana nao mkuu usipoteze muda wako kuwaelewesha wakisikia st marrys internationa school wao wanajua ndo international hiyo
hawajawahi kuexperience international kiuhalisia ni nini...
 
Usitoe maoni kwa kuwadharau wengine, kwani mtu akitoka matombo kuna ubaya gani akitoa maoni? Mtu akitoka kishapu inamtolea uhalali wa kujiunga jf na kushiriki mijadala? Mtu akitokea karagwe anakuwa na tatizo gani hasa kwa upande wako?

Turudi kwenye mada iliyo tukutanisha hapa, huoni kama sababu ya uchache wa watu weusi kusoma katika shule zinazo toa mitaala bora kunaweza kuwa kichocheo cha sisi kuwa nyuma siku zote?
 
Mawazo ya wachangie wengi ni kwa sababu ya umaskni tu. Na wengi wetu hapa tunachangia mawazo ya kimaskin. Ukisoma kitabu Cha rich day na poor dady utaelewa haya. Baba tajiri huwaza mtoto awe na elimu Bora na baba maskin anawaza Bora mtoto wake apate elimu bila kujali elimu Bora.
Vyou Bora dunian ada yake ni said ya mili150 kwa mwaka. Mtoto huyo huwezi kumlinganisha na mtoto aliyehitimu udom penye ada ya mil 1 kwa mwaka. Ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi
 

Hapo nimekuelewa sasa!! And nimesema hata kama ningekuwa naingiza 1bn kwa mwezi iyo hela silipi mkuu sio kwamba ndo kipato nilicho nacho hapana,

Ikifika wakati nakuwa na b kwenye account yani nikuwekeza kwakwenda mbele!! watakuja kunishukuru hapo badae hawa watoto..... hamna hamna shule ada isizidi milion 4 nalipa ila sijui milioni 10 kwa mwaka iyo hamnaga silipi
 
Ukifika huo wakati hutakuwa na mawazo haya. Na kuna uwezekano mambo ya ada na vitu kama hivyo wala utakuwa huangaiki navyo,kuna watu watafanya hio kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ