Shule kuhusu vioo vya simu: Uzi maalumu

PintoG

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
612
731
Ukiwasikiliza watumiaji wengi wa simu hapa nchini watakuambia simu za Samsung ni rahisi kuvunja vioo.na pia vioo bei ghali.

Kupitia uzii huu naomba wabobezi wa masuala ya simu waje hapa Kutoa elimu juu ya.....

1: Amoled screen ambazo hutumiwa sana na samsung.

2: Gorrila glass .

3: Display/resolution standard kwa simu inapaswa kuanzia ngapi?

Kwa Samsung A series ,ni ipi yenye camera kali kwa performance nyuma na mbele?.

Kwa CHINA'S Brand kama Huawei, Oppo na XIAOMI BBB binafsi naona zinaperfom vizuri sana sokoni.na zina bei kubwa zinacompete sasa na samsung na iphone, mfano Huawei P40 pro ni m2+ , oppo find X2 ni zaidi ya 1.5 m .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujitahidi kunawa mikono kwa maji tiririka na vitakasa mikono,kaa nyumbani kama huna shughuli maalum ya kutoka na pia tuzingatie social distancing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom