Shule ishalamba pesa yangu

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
umejikusanya na umejichanga weeeeee ukapata 800,000/=
umeenda shule, umelipia ada yote ya mwaka tsh 800,000/= kwa ajili ya mwanao, ila ile umetoka tu ofisini roho inakwambia angalia michoro ukutani unakutana na hii picha ,
je utachukua uamuzi gani ?!!
 
Attachments

  • 1457720005346.jpg
    1457720005346.jpg
    19.9 KB · Views: 85
umejikusanya na umejichanga weeeeee ukapata 800,000/=
umeenda shule, umelipia ada yote ya mwaka tsh 800,000/= kwa ajili ya mwanao, ila ile umetoka tu ofisini roho inakwambia angalia michoro ukutani unakutana na hii picha ,
je utachukua uamuzi gani ?!!
Sijaelewa... naomba unieleweshe
 
duuuu!! hatari sana jaman pole sana. walimu na wanafunzi wa shule nna mashaka na uwezo wao. mchoraj nae n shda
 
Kamteke mwenye shule mwambie akuletee vyeti vyake na vya waalimu wake vilaza kuonyesha ufaulu Wa masomo ya kozi zao za ualimu.
 
Unawapa shule hao wamiliki wa shule...........ila ni kuwa makini kuangalia hayo mambo kabla hujaamua kumpeleka mwanao hapo.
 
Back
Top Bottom