fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,676 Jun 12, 2016 #41 medie20 said: nenda mbezi beach hutajutia matokeo yao ni mazuri sawa na wanaolipa ada milioni tatu na kuendelea nenda hapo sikushauri uende kwengine Click to expand... Mbezi beach ipo vzur,walimu wa kutosha Kinachowafanya shule isiwe juu ni kutochuja kweny interview ya kujiunga Anachokifanya mbowe ni kuchukua wanafunzi bila ya mchujo then term exam anawachuja ndo mana atleast huwa hapati zero kizembe Ada ni lak 8 na points kadhaa
medie20 said: nenda mbezi beach hutajutia matokeo yao ni mazuri sawa na wanaolipa ada milioni tatu na kuendelea nenda hapo sikushauri uende kwengine Click to expand... Mbezi beach ipo vzur,walimu wa kutosha Kinachowafanya shule isiwe juu ni kutochuja kweny interview ya kujiunga Anachokifanya mbowe ni kuchukua wanafunzi bila ya mchujo then term exam anawachuja ndo mana atleast huwa hapati zero kizembe Ada ni lak 8 na points kadhaa
Pure Scientific JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 716 Reaction score 644 Jun 12, 2016 #42 medisonmuta said: :embarrassed1: Sijajua imepanda shilingi ngapi ila nenda direct shule ilipo tank bovu...hata matokeo yao yanaridhisha... Click to expand... Laki 9 now
medisonmuta said: :embarrassed1: Sijajua imepanda shilingi ngapi ila nenda direct shule ilipo tank bovu...hata matokeo yao yanaridhisha... Click to expand... Laki 9 now
M Marambo Senior Member Joined Jul 26, 2015 Posts 104 Reaction score 69 Aug 2, 2016 #43 wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana nina shida kubwa
wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana nina shida kubwa
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Aug 2, 2016 #44 Marambo said: wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana nina shida kubwa Click to expand... Kwa wasichana tupu angalia Maasae girls bei zao zipo chini ila ukitaka mixture angalia jitegemee, st anthony bei yao ni 2.7 million tu basi
Marambo said: wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana nina shida kubwa Click to expand... Kwa wasichana tupu angalia Maasae girls bei zao zipo chini ila ukitaka mixture angalia jitegemee, st anthony bei yao ni 2.7 million tu basi
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Aug 2, 2016 #45 ebenezar said: Anaye jua ada ya advance jitegemee CBG plz anicheki bas 0715547842 Click to expand... Jite wanalipa laki 8 kama tuition fee alaf lak 2 kwa mwezi kwa accomodation fee
ebenezar said: Anaye jua ada ya advance jitegemee CBG plz anicheki bas 0715547842 Click to expand... Jite wanalipa laki 8 kama tuition fee alaf lak 2 kwa mwezi kwa accomodation fee
S SITABIRIKI JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 364 Reaction score 105 Aug 2, 2016 #46 ALQAEEM SEMINARY -DODOMA