Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

nenda mbezi beach hutajutia matokeo yao ni mazuri sawa na wanaolipa ada milioni tatu na kuendelea nenda hapo sikushauri uende kwengine
Mbezi beach ipo vzur,walimu wa kutosha
Kinachowafanya shule isiwe juu ni kutochuja kweny interview ya kujiunga

Anachokifanya mbowe ni kuchukua wanafunzi bila ya mchujo then term exam anawachuja ndo mana atleast huwa hapati zero kizembe

Ada ni lak 8 na points kadhaa
 
wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana

nina shida kubwa
 
wadau natafuta shule ya A-level ya combinations za sayansi ambayo ada yake sio kubwa, iwe boarding na kwa msichana

nina shida kubwa
Kwa wasichana tupu angalia Maasae girls bei zao zipo chini ila ukitaka mixture angalia jitegemee, st anthony bei yao ni 2.7 million tu basi
 
Back
Top Bottom