watu mbona mnataka kujaza thread bila sababu,yeye kasema mwanae ni wa arts kwahiyo hizo shule mnazo weka hapo karibu zote ni sayansi,mi kwa ushauri wangu kwanza angetupa taarifa za kutosha nikimaanisha jinsia,uwezo wake darasani na ni masomo gani anataka kuchukua A level....baada ya hapo tutakupa shule ambazo zina mazingira mazuri kwa mwanao kusoma na nafasi kubwa ya kufaulu masomo yake ya kidato cha sita.Maana akikurupuka kujaza shule ambazo zina ushindani halafu yeye uwezo wake mdogo wale wakuu wa shule nafasi sio nyingi kama tunavyochukulia huwa wanachagua waliofaulu kwa viwango vya juu sasa tupe uwezo wake ni muhimu.