MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
Kichwa kinakuuma bure,subiri kwanza matokeo make matokeo ndo yatakuonesha njia.Unaweza kupanga hiv mara matokeo yakaja kivingine.Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
kama yupo arts akipata taboraboys kichwa cha tanzania abakiiii tuuu huko taboraboys ushindani ni mkubwa sana kuliko shule zote tanzaniafeza boys, ni nzuri. Lakini kama akipata ilboru, mzumbe kibaha mwache asome hapo
Ilongero,mirambo na central ya dom