Shule ipi nzuri kwa a-level wavulana

MDANGANYIKAJI

Member
Jan 27, 2011
77
59
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
 
yeye anataka kusomea masomo yapi, science,business au arts??
 
Mpeleke shule moja kule Tanga inaitwa Rosmin High School kama kweli ni kichwa basi akipita mtihani wao ni shule nzuri sana.
 
kama anataka kuchukua PCM au PCB, na kama anahuakika wa kupata grade A katika hayo masomo mwambie ajaze kati ya kibaha, mzumbe au ilboru, ila kibaha ni nzuri zaidi kwa maradhi.
 
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni

Feza boys, ni nzuri. Lakini kama akipata Ilboru, Mzumbe Kibaha mwache asome hapo
 
watu mbona mnataka kujaza thread bila sababu,yeye kasema mwanae ni wa arts kwahiyo hizo shule mnazo weka hapo karibu zote ni sayansi,mi kwa ushauri wangu kwanza angetupa taarifa za kutosha nikimaanisha jinsia,uwezo wake darasani na ni masomo gani anataka kuchukua A level....baada ya hapo tutakupa shule ambazo zina mazingira mazuri kwa mwanao kusoma na nafasi kubwa ya kufaulu masomo yake ya kidato cha sita.Maana akikurupuka kujaza shule ambazo zina ushindani halafu yeye uwezo wake mdogo wale wakuu wa shule nafasi sio nyingi kama tunavyochukulia huwa wanachagua waliofaulu kwa viwango vya juu sasa tupe uwezo wake ni muhimu.
 
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
Kichwa kinakuuma bure,subiri kwanza matokeo make matokeo ndo yatakuonesha njia.Unaweza kupanga hiv mara matokeo yakaja kivingine.
Naona umeshasema yeye ni Arts unauhakika atafauru masomo hayo yote ya art?.Vuta subira fanya maandalizi ya kutosha ya ada huku zaid ukingoja matokeo yake!
 
habari...,naomba kuuliza ada ya shule ya sekondari tusiime O' level iliyopo tabata imefikia kiasi gani mwaka huu..,nahitaji kumuhamishia mtoto kwenye shule hiyo mwakani
 
Mkuu so long as mwanao ni arts nakushauri pamoja na mambo mengine msisitize afanye vizur kwny HGL na kwny SEL FORM mwambie km akijaza HGL km comb'ya kwanza bas shule ya kwanza iwe ILBORU
 
feza boys, ni nzuri. Lakini kama akipata ilboru, mzumbe kibaha mwache asome hapo
kama yupo arts akipata taboraboys kichwa cha tanzania abakiiii tuuu huko taboraboys ushindani ni mkubwa sana kuliko shule zote tanzania
 
Mkuu kama mwanao unataka afaulu special school ajaze hgl au hkl alafu kwa masomo ya sanaa special school wanachuka mpaka bbb au acb na pia hata asipokuwa na one hgl special school wanachukua mpaka two na shule zenyewe ni tabora boys(hgl)mzumbe(hgl)ilboru(hgl) na kisimiri(hkl) mwambie ajaze hizo shule na hizo kombi
 
Back
Top Bottom