Shule hizi

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
26429_100799156625218_100000854017483_20093_3875310_n.jpg
 
sasa mzazi akiulizwa mwanae asoma wapi atajibuje? sipati picha

acha mambo yako bwana,usiogope taja jina la shule kwani huoni limeandikwa kwa ki-lugha ama lugha ya asili,kwa mfano kwa waha usenge mana yake ni usali/Pray.
 
Duh, sijui wana maana gani! Lakini nadhani si vema kupeleka watoto wa kibongo hapo kwani itawachukua muda kuikubali maana yao halisi hao wenye Usenge.
 
Back
Top Bottom