Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Umesahau Tabora boy...
Haina hadhi ya uspesho schoo any more...
Umesahau Tabora boy...
Haina hadhi ya uspesho schoo any more...
Wewe ndezi kweli ,kilaza kabisa yaani kwa mtihani wenu ulivyokuwa rahisi ukashindwa kupata point 4 wewe ni mzembe ,uspecial upo pale hamna ndezi
Tabora boys still ipo Hot.. na kwa jinsi madogo wanavyokomaa pale wanyewe bila walimu, Na mazingira ya pale yalivyo wanahitaji pongezi,
kufeli kwako la7 na form4 kusiwe kero jutia ubongo wako kuwa wa panzi,mpigamsuli....
Najua unaisafisha your fvckin' old school....
Kila kitu na msimu wake ndg.
Wapi uliona wagelzia wanawatawaza waboyzia,ndicho kilichotokea msimu huu..
Wapi uliona kilax inawakojolea boyz,ndicho kilichotokea last year....
Boyz kila siku inashuka,hebu cheki hali ya o'level pale,uozo mtupu...
DULA kashindwa kazi,hana jipya tena....
Pongezi ya nini...??
What so special from them to be praised...??
We've to blame them for ruining Tanzania's cream...??
Mtu anaenda boyz na point 3 za comb yake kutoka shule ya kata ya biharamulo yenye headteacher pekee,after two years anarudi na point 18/19/20/21,je kama wewe ni mzazi utasemaje hapo...
kuna mjomba wangu kasomea puguboys miaka ya 70 ananiambia pugu ya miaka yao ilikuwa hatari walikuwa wanawazidi mpaka special schools now hichokitu hakipo kimebaki historia
Wakuu shule kama tosamaganga,ifunda tech,malangali,moshitech,galanos,pugu,weruweru,ashiragals,bwiruboys,bwiru boys,zimepotea kabisa katika taaluma wakuu tatizo ni ni ni? ,shule hizi zinachukua wanafunzi wabovu sana,mazingira mabaya,walimu hakuna au tatizo ni ni ni wakuu sababu hata katika nafasi 30 kitaifa hizi shule hazipo wakuu tatizo ni ni? kuna mjomba wangu kasomea puguboys miaka ya 70 ananiambia pugu ya miaka yao ilikuwa hatari walikuwa wanawazidi mpaka special schools now hichokitu hakipo kimebaki historia
Mshenzi wewe yani iv. pale kwa advance hazizidi mbili mjinga kabisa wewe mbona unawivu sana? ungefaulu basi form4
Mshenzi wewe yani iv. pale kwa advance hazizidi mbili mjinga kabisa wewe mbona unawivu sana? ungefaulu basi form4
kufeli kwako la7 na form4 kusiwe kero jutia ubongo wako kuwa wa panzi,
Aisee dogo jiheshimu aisee unajua division wanazochukua pale?? i.12 mwisho ,la7 wanchukua magenous ,wewe mwenyewe ulikuwa unaenda kufundishwa pale
special school miaka ya 70? unazijua shule bora miaka iyo ?usiwe unameza kila unachoambiwa hoji kwa undani ili uelewe.
mpigamsuli.....
Kwenye matusi ndipo unaponikera,raise up constructive perspective,tuvute mkeka tujadili...
Madani....
Unaposema advance hazizidi point mbili,sikuelewi...what I know ni kwamba wanapokea mwisho point 4 ie:AAB...
Lakini hii ni kwa pcb&pcm lakini kwa HGL hata wenye div. 3 wanapojekewa ......