View attachment 163734 Wanafunzi wakiwa njiani kenda shule
Umegundua nini?hapa fasihi imetumika nini mamaana yake ukizingatia ni sketi tupu.
Umegundua nini?
hapa fasihi imetumika nini mamaana yake ukizingatia ni sketi tupu.
halafu make mtafiti we we kama unasoma phonology vile
hapa bado nafanya utafiti lazima pana kitu hapa.
Naomba mrejesho mwishoe-nakuaminia
hapa nakusanya data mkuu mrejesho lazima nilete.
Ulchosema n kwel kabsa 100%, uliiva shulenAisee
mtoto wa kike
anapomaliza shule na kufikia malengo yake ni jambo la kumshukuru mungu,
akicheza vibaya tu na hiyo kamba tayari yuko chini mungu wasaidie
wadogo zangu nataman wavuke salama...
Ulchosema n kwel kabsa 100%, uliiva shulen
Tuwasaidie wanafunzi wa kike ktk safari yao.