Shule hii jijini mbeya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule hii jijini mbeya!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by IPILIMO, Oct 22, 2012.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Wadau wa elimu, kwa wakazi wa Mbeya na mikoa mingine hasa mbali na mbeya, jijini. ITENDE SEC. SCHOOL

  • Ni shule ya wasichana na wavulana
  • Ni ya kutwa na hosteli ndani ya shule
  • Imeanzishwa tangu 1992
  • Ina O & A levels
  • O level-masomo ya ARTS & SAYANSI
  • A level-michepuo HGL, HKL, HGK & HGE
  • A level ilianza 2009 na inafanya vema ( 2012 ya 5 kimkoa, 40 kitaifa)
  • ADA kutwa ni sh 400,000 (inalipwa kwa awamu mbili 250,000/150,000)
  • ADA ya kutwa pamoja na HOSTELI ni sh 900,000 ( inalipwa 500,000/400,000)
  • NAFASI za kuhamia januari 2013 zipo; kidato cha 1, 2, 3, 4, 5 & 6
  • KUANZIA JANUARI 15, HADI APRIL 30 2013 KUTAKUWA NA MASOMO YA PRE-FORM 5 KWA ADA YA SH. 80,000 KWA KIPINDI CHOTE na WATAKAO TAKA HOSTELI WATALIPA 180,000 KWA KIPINDI CHOTE.
  • WATAKAO SOMA PRE-FORM 5 na ikatokea wakaendelea na FORM 5 HAPA SHULE WATAPEWA PUNGUZO LA ADA ( 350,000 SH badala ya 400,000 sh).
  • shule ipo mazingira tulivu ya kujisomea, pia nje kidogo ya pilikapilika za jijini.

  Mawasiliano; kihegam@gmail.com utende2011@yahoo.com; 0652-656565, 0756-629094
   
 2. M

  Mgengeli Senior Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkoa wa mbeya ilishika nafasi ya ngapi?
   
 3. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ngoja nitakuchekia mkuu, nijue mkoa ulikuwa wangapi kitaifa! makini sana!!
   
 4. Boniphace17

  Boniphace17 Senior Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii kweli habari njema..
  Let me know ubora wa staff ya shule na huduma za hostel apart frm da cost.
  Pia results za f6 wa last yr especially sanaa! Plz
   
 5. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  • Kuna walimu wa DIPLOMA NA DEGREE WA KUTOSHA; ARTS AND SCIENCE HUFUNDISHA O LEVEL
  • KWA A level, KILA SOMO WALIMU WAWILI; YANI P1 & P2 WOTE NI DEGREE HOLDERS PART TIME AND FULL TIME, part time wanasaidia kuleta uzoefu na radha nyingine toka kwenye shule zao wanazofundisha!
  • NECTA 2012 F.6 MMOJA TU ALIPATA DIV.IV, WENGINE 2 & 3 NA WOTE WAMEPATA VYUO VIKUU
  • SHULE PIA INA UTARATIBU WA KUPOKEA A levels wenye sifa pungufu eg kukosa credit 1 au 2, wanasoma kama f.5 huku wakijihudhulisha katika kujisomea, kufanya mitihani na form 4 pia kusaidiwa na walimu wao kuristi mitihani yao ya f.4 na wakisha pata credit wanaendelea na f.6 kama kawaida na wenzao. Walimu hujitahidi kuona kuwa wanawasaidia vijana hao ili wapate sifa na hatimaye kufanya NECTA F.6. Walio fanya hivyo wamefaulu NECTA.
  • Kwa mwanafunzi wa A level asiye na sifa kamili, halipi gharama ya kituo atakapo fanya NECTA yake ya kuresit!(shule ni kituo cha NECTA ) NA anaweza kukaa hosteli kwa masharti yaleyale sawa na wengine, hivyo ni bora zaidi kuliko kusoma kwenye centres za mitaani!
  • faida nyingine ni kuwa kwakuwa watu wengi wana kasumba ya kutaka kusoma maeneo ya city centre, ni wanafunzi wachache hujiunga na A LEVEL, the good thing ni kuwa hata wakiwa wachache sana idadi ya walimu na ufundishaji unabaki uleule, hivyo chance ya kufaulu ni kubwa zaidi!
  • Kwa wanaokaa nje ya mbeya tunapendekeza sana hapa ni mahali pazuri pa kumleta mwanao asome
  • Huduma za hosteli ni nzuri, ila sio za kudekeza mtoto; wasichana wana mama, matroni wao anayeishi karibu yao, pia kwa wavulana pia! CHAKULA ni kizuri (nyama, maharage, wali, mbogamboga pia ugali, uji), michezo na buradani, na kwakuwa ni pembeni ya jiji, hakuna ruhusa za kutembea wala kuonana na watu bila ruhusa na uangalizi maalumu! KARIBU NA OKOA WAKATI
   
 6. Boniphace17

  Boniphace17 Senior Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kaka thanks kwa ufafanuzi mzuri na makini..
  One more qn..oh, i will give u a call since ts a little private.
  Thanks again dude.
   
 7. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu asante kwa taarifa nzuri za kimaendeleo. pia mpe hi mwalimu wangu KIHEGA enzi hizo akiwa meta sec.namkumbuka kwa somo la lugha ya CNN we acha tu.
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Elimu ni biashara 2tasomaje.
   
 9. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Katika shule zenye wanafunzi chini ya 35, shule yetu ikawa ya 5 kati ya shule 40 za mkoa wa mbeya.
   
 10. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kaka itatubidi tusome tu, katika utandawazi huu no way!!! kwenye private lazima ionekane kama biashara, lakini kwa ADA iliyo tolewa humu ni kiwango cha kawaida sana, shule nyingine hasa individually na seminari owned ADA zake si mchezo. Serikali ingeweka uwiano wa kiruzuku, ada ingekuwa nafuu. RUNNING PRIVATE SCHOOLS without support, FEE is the only solution.
   
 11. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Amezipata kaka, msaidie tu kutangaza shule hii anayo iongoza!!
   
Loading...