Nimepita kwenye shule hii kuangalia mahudhurio ya wanafunzi nimekuta inajumla ya wanafunzi 47. Kwa hiyo shule zote zenye mlundikano wa wanafunzi tuhamishie kwenye shule hii.
Mbona naona barabara na vijumba jumba tu?sijaona shule hapo,ungetupa maelezo ni shule gani?iko wapi?kwa nini haina wanafunzi nk,au shule yenyewe ipo kwenye jf?unasema tuwahamishie wanafunzi kwenye shule hii ipi?kwenye screen?